Enhancing Youth Integration and Gender Equality for Improved Livelihoods Project (EYIGEL)
#BORESHA MAISHA YA VIJANA

KUHUSU MRADI

Mradi wa Enhancing Youth Integration and Gender Equality for Improved Livelihoods Project (EYIGEL) #BORESHA MAISHA YA VIJANA, una lengo la
kuimarisha na kuendeleza shughuli za vijana hasa walio katika sekta ya kilimo na shughuli nyingine za ujasiliamali ili kuhakikisha wanafikia malengo yao na
kua na uchumi endelevu kupitia utekelezaji wa mpango mkakatiwa Tanzania Youth Coalition 2022-2027, kwa ufadhili wa WE EFFECT.

WALENGWA WA MRADI
Walengwa wa moja kwa moja: 11,606 (Wanawake 6,606 na wanaume 5,000) ikiwemo makundi ya vijana wakulima(100), Vijana wajasiliamali, Mashirika ya
vijana, vikundi vya wakulima, Vikundi vya vijana vya kuweka na kukopa, wadau wa maendeleo ya vijana na taasisi zinazofanya kazi na vijana pamoja na vijana

WALENGWA WENGINE

Idadi ni 10,000,000 Jamii kwa ujumla, vyombo vya habari na Waandishi wa habari(TV na Radio)

MALENGO YA MRADI

Lengo kuu la mradi ni kufanikisha na kutekeleza malengo ya mpango mkakati wa TYC 2022-2027.

MALENGO YA MRADI

Na malengo mahususi ya Mradi ili kufikia lengo kuuni;-
Kuimarisha uwezo wa mashirika yanayoongozwa na vijana
Kuhakikisha kuwa vijana wanakuwa na maisha endelevu.
Kuongeza Ustahimilivu wa Vijana dhidi ya hatari ya kijinsia
Kuongeza fursa ya vijana kupata mgao wa bajeti ya maendeleo yenye usawa na inayotosheleza

WADAU KATIKA MRADI
Serikali kupitia wizara zake na halmashauri za mikoa ya Iringa Dodoma, Mwanza na Kilimanjaro
Dodoma Youth Development Organization (DOYODO)
Iringa Farmers’ Cooperative Unit (IFCU),
Kilimanjaro Dairy Cooperatives Joint enterprises LTD
Mwanza Youth and Children Network (MYCN)
Tanzania Home Economics Organization(TAHEA)
Na wanachama wa Tanzania Youth Coalition

Vijana walio shiriki kwenye mafunzo yanayotolewa na TYC chini ya mradi wa Eyigel (Boresha maisha ya vijana)

Vijana walio shiriki kwenye mafunzo yanayotolewa na TYC chini ya mradi wa Eyigel (Boresha maisha ya vijana) wakiwa katika picha ya pamoja

WAFADHILI
We effect

MUDA WA MRADI
May 2023 to December 2027.

SHUGHULI ZA MRADI
Shughuli za Mradi zimegawanyika katika maeneo yafuatayo.
Kuvijengea uwezo vikundi vya vijana na taasisi za vijana kuweza kua na mifumo mizuri ya uendeshaji wa
vikundi na taasisi zao
Kuwajengea uwezo vijana kuhusu masuala ya jinsia na ujumuishaji wa vijana katiaka maswala ya
kimaendeleo katika jamii zao
Kuwaunganisha vijana wajasiliamali na masoko na fursa za kupata mikopo
Kutengeneza mfumo wa kuripoti na kufuatilia matukio ya ukatili wa kijinsia katika jamii
Kuwajengea uwezo vijana juu ya masuala ya mabadiliko ya tabia ya nchi
Kuwajengea uwezo vijana juu ya umuhimu wa kuongeza thamani kwenye mazao na bidhaa zao.

MATOKEO YA MRADI
Mradi unatarajia kua na Matokeo Yafuatoyo:
Programu zilizoimarishwa za TYC na vikundi vya vijana/utendaji wa mradi yenye uendelevu.
Kuimarishwa kwa maisha ya vijana na uwezo wa kuajiriwa na kujiajiri.
Vijana kuzingatia masuala ya jinsia na afya katika kazi zao.
Kuongezeka kwa msaada wa bajeti ya serikali za mitaa na serikali kuu kwenye mipango ya vijana mfano
( Mikopo ya manispaa 4-4-2 na National Youth Fund)

MAWASILIANO
MKURUGENZI
Ndg. Lenin Kazoba
255-222-701-095 | 255-784-877-497
lenin.kazoba@tzyc.org | info@tzyc.org

MAWASILIANO
Ndg. Yahaya Kitogo
255-222-701-095 | 255-788-764-019
kitogo.yahaya@tzyc.org